njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
sema mji au jiji la avicHivi nani asieijua Avic town porini kule mnalima makorosho
sawa boss ,miundombinu mingine ya mji wa avic umeionaje hapo pichaniUshamba mzigo,sauna unaona dili mimi pia ninalo kwangu njoo ujifukize
Ndio umeijua leo? Maka mitano iliyopita timu iko hapo hapo,hakuna kipyasawa boss ,miundombinu mingine ya mji wa avic umeionaje hapo pichani
heee basi ilikuwa siri kubwa sana pametulia sana aiseeeNdio umeijua leo? Maka mitano iliyopita timu iko hapo hapo,hakuna kipya
kila kitu kina mwanzo, yanga haiwezi tena kwenda nje kwa ajili ya pre season ni ushamba, wapongeze kwa kujinasua kwenye ushambaKwahiyo Uturuki mlikuwa mnaenda kufanya nn? Bangi bana
Acha ushamba vitu vya kawaida hivyoheee basi ilikuwa siri kubwa sana pametulia sana aiseee
kuna washamba wanavifata misri kumbe kwenye mji wa avic vipoAcha ushamba vitu vya kawaida hivyo
Mjini umekuja linikuna washamba wanavifata misri kumbe kwenye mji wa avic vipo
mkuu walioenda misri kwanza ungewauliza hilo swali, kumbe wajanja downton kitambo mnawachora tuMjini umekuja lini
Wewe Kolo, Agosti 13 Sio Mbali Patakuwa Pachungu Humu, Pindi Ufunguo Atakavowashindilia Msumari Wa Moto Na Kupoteza Tena Mechi Mbele Ya Mabingwa Mara Zote [emoji4]Niseme tu yanga ndiyo klabu inayoendeshwa kwa mpangilio wa hali ya juu yaani level za la liga, communication kati ya kitengo hadi kitengo ni ya hali ya juu na kwa nidhamu ya hali ya juu sana
Ukiangalia hizi picha kutoka MJI WA AVIC walipoweka kambi unadhani ni nini kiwatoe nje ya Tanzania jamani, hapo wachezaji wata relax kabisa kama naiona nusu fainali ya klabu bingwa afrika ileee kiulaiiini, bonge la kambi
Hili liwe funzo kwa washamba kwamba tuthamini vya kwetu nyumbani
View attachment 2297557View attachment 2297560