Elections 2010 PICHA: Kampeni ya mwisho ya Dr. Slaa jijini Mbeya


no comment!!!
 
......Aisee si mchezo, Mbeya wamefunika hapo Dk Slaa ana kura zake nyingi tu.
 
Freedom is coming tomorrow, Dr, Slaa you are the only on
 

halafu mijitu itaendelea kumpa huyu jamaa lol!!
 
Dr. Slaa my President, I can't wait. Ooh God bless Tanzanians as they decide tommorow, let them make the right decision by voting for the change we need and believe in.
 
Mr Mugumu asante sana bwana,naamini mabadiliko yanakuja
 
Ukiangalia picha ya mwisho watu wakimsindikiza utakubali kuwa kweli kulikuwa na nyomi si mchezo. Mwaka huu ipo kazi

Kama Jangwani kwa JK leo> Hakika mambo ni magumu!
 
halafu mijitu itaendelea kumpa huyu jamaa lol!!

Mwambie hivi huyo: We are the one to make or unmake our government. Hawezi kutuchagulia au kutushawishi tumchague kiongozi anayemtaka yeye, eti kwa sababu aliyemtunza huko Mbeya yupo lock up. Kila nchi ina sheria na Katiba yake, in politics we are not to be ruled by outsiders. Kama kiuchumi labda!!!!!!!
 
Hapo ni mbeya mji wenye watu wachache lakini wamemfunika jk aliekua dar kwenye watu wengi pamoja na malori yake
 
Jamani kumbe kuna watu wa CCM husema ati hizo picha za mikutano ya Dr.Slaa huchakachuliwa mean IT technology imetumika kuongeza idadi ya watu kwa picha hizo, Hili nika waambia tuachane na siasa za kishabiki. Nikwaambia kuwa nahudhuria mikutano mingi ya CHADEMA na CCM na idadi ya watu wengi huja kwenye mikutano ya CHADEMA na ya CCM huwa wanakuja % kubwa ni wanachama wa CCM walio katani katika jimbo hilo.
 
Peoplessssssssss Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
kimsingi Dr. Slaa akishinda, si yeye pekeyake atakuwa ameshinda bali watanzania wote watakuwa wameshinda.
 

Kicks of an old dying mule
 
Jamani huko Mbeya Dr. katoa ujumbe gani?? Tujuzeni mliokuwepo. Tuna haja na ujumbe wake wa kufunga kampeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…