Elections 2010 PICHA: Kampeni ya mwisho ya Dr. Slaa jijini Mbeya


Ila misaada awape, pole!
 
Hivi hawa POLISI wanazo kweli? HAWAONI KUWA mabadiliko yanawahusu pia? KUna askari wengine wameletwa wapo hapa KURASINI tangu juzi eti wanasubiri vurugu, sio kulinda amani ni kusubiri vurugu eti, heri nilikosa uaskari maana nisingeweza huu ujinga
 
Hakyianani Dr anatisha! Ukombozi utakuja hata iweje.
Thanks to all comrades.
 
Sisi tuko Zambia tunasubiria train ili tuje kumuona na kupiga kura. Tumeacha biashara ili tuakikishe Dr. Wakweli anashida. Mbarikiwe

Taarifa nilizopata toka kwa ndugu yangu wa Uyole anasema palikuwa hapatoshi. na ITV ameonekana jinsi alivyofunika. watu walikuwa wanakanyagana!!!!
 
halafu mijitu itaendelea kumpa huyu jamaa lol!!
Ukoo wa Rockfeller ni wa watu matajiri sana huku Marekani. Nashukuru sana kuona huyu dada kasema ukweli juu ya Kikwete. Ee Mwenyezi Mungu tuondolee kituko hiki!
 
Ukombozi umewadia! Chagua Dk.Slaa kwa maendeleo na Demokrasia ya kweli. Asante sana kwa picha hizo zenye mvuto!!!:smile-big:

Nimeangalia zaidi ya mara 10 hizi picha bado natamani kurudia tena na tena, siwezi kufananisha tukio la namna hii kwenye maisha yangu ukiacha la John_Paul_II pale Jangwani 1990. Hata nikiamka naumwa kesho nitakodi tolori nikapige kura nikiwa nimeshiliwa. Sauti yangu lazima isikilizwe-Maskini jeuri.
 
Hii nami nimeikubali. Jama wa sisiem wasitufanye kuwa wote tuna akili za akina makamba na Jk. waache watz waamue nani wa kuwaongoza na sio wao kujichagua na kudanganya kuwa wao wamechaguliwa. Mungu awalaani watakaoiba kura zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…