Elections 2010 PICHA: Kampeni ya mwisho ya Dr. Slaa jijini Mbeya

Picha hizi lazima tuziprint J3 maana ni historia. Nyerere amerudi. Go Slaa to state house.
 
Whatt!! hongera kwa Mbeyaaaaaaaaaaa!!!!m sooo speachlesssss!:tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape:
 
picha kitu gani bwana mmetengeneza hiyo mambo yalikuwa jangwani leo nafikiri wenzenu watawasimulia kwa wale mlioshindwani kuja jangwani

You mean wale watu wajangwani wenye nguo za kijani na njano, ambao wameletwa na mabasi? Picha unazoziona hapa ni watu wamekuja na miguu ya kutoka majumbani kwao na umaskini wao wameenda kumuona mkombozi wao. Na kumbuka Dar has nearly 10 M people na bado wamefunikwa na wapiganaji wa Mbeya!
 


Ahsantani watu wa Mbeya tunawajua munaamini katika mabadiliko hii picha naiweka kwenye server ni nzuri mno
 
Kuamua kufungia Mbeya kweli ilikuwa halali. Mkwere kabeba wake na malori lakini sidhani kama wote watampigia kura
 
Ahsante uliyeweka hizi picha za mkutano toka Mbeya. Zimenifanya nimetoa machozi. Hakika Tanzania mpya imezaliwa! Ahsante wana Mbeya kwa kumaliza mkutano kwa amani! Imebaki kazi moja tuu, KURA KWA DR. SLAA (PhD)!:israel:
 

Lisa, 'm humbly gratified by your support to Tanzanians who've suffered in the hands of corrupt ccm & its visionless & greedy leaders. Today we'll decide between de old & new. Today we'll decide between a corrupt regime which has run us into poverty & dirty mine contracts and a new man, humble, visionary & a patriot.
The simple question 2 all ccm supporters is Y IS TZ POOR? WHICH PARTY HAS RULED SINCE INDEPENDENCE?
 
Mkuu Mwanakjiji I wish you were there may be ungeweza kuelezea, Wamama na Baiskeli zenye bendera wakihamasishwa na Wananchi wanaooneka kuchoshwa na CCM lakini wanaangushwa na Wasomi wa Dar Es Salaam. Kweli leo nimelia
Ndugu yangu, ile kadamnasi ya Jangwani kuna watoto wa mjini kiduchu tu pale (wengi walikuwa wanaendelea na libeneke zao tu mtaani).
Majority ya ile gathering wamekwenda kuzolewa kwa mabasi na malori Kisarawe, Rufiji, Kibiti, Kilwa, Chalinze, nk.
 
Dr Slaa anatisha kiukweli! Yaani hapo watu wamejaa bila FIESTA kweli watu wanahitaji mabadiliko ya ukweli na wamekubali mabadiliko yataletwa na CHADEMA tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…