PICHA: Kanye West na mkewe wajiongezea ulinzi maradufu

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Kanye West alinukuliwa akisema kua tukio la kuvamiwa kwa mkewe lilimfanya awe "helpless" na akasema atafanya kila liwezekanalo kuilinda familia yake(ofkoz pesa anayo)

Hivyo basi kwa kushirikiana na mkewe Kim Kardashian, wameboresha safu yake ya ulinzi(Kim) kujihami na shambulio jipya kufuatia lile la Paris lililohatarisha maisha yake na kuporwa mali zenye thamani ya zaidi ya dola milioni 10.

Sasa atakuwa na ulinzi wenye hadhi ya mkuu wa nchi. Vyanzo vilivyo karibu na Kim vimesema kuwa, sehemu ya timu yake ya ulinzi inaundwa na wafanyakazi wa zamani wa Secret Service, wenye silaha nzito.

Kutakuwepo na walau timu moja ya mapande ya watu kila aendapo. Pia gari yake itakuwa na silaha.

Baada ya shambulio hilo la Paris, Kim alikutana na wanajeshi wa zamani wa jeshi la Israel, CIA pamoja na wafanyakazi wa zamani wa Secret Service. Kanye alikutana na wamiliki wa makampuni makubwa mawili ya ulinzi.

Mlinzi wake, Pascal Duvier amebakizwa. Pia ulinzi umeimarishwa kwa dada zake, Kourtney, Khloe, Kendall na Kylie.

1476100386023.jpg
 
View attachment 415558
Zaburi 127(b):.....Bwana asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure.
 
Mwanaume ukikosea kuoa noma sana wazeiyaaa,..
Nomaa
 
Mwizi huwezi kumzuia, sema unamchelewesha tu kutekeleza azma yake
 
Back
Top Bottom