Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanye West alinukuliwa akisema kua tukio la kuvamiwa kwa mkewe lilimfanya awe "helpless" na akasema atafanya kila liwezekanalo kuilinda familia yake(ofkoz pesa anayo)
Hivyo basi kwa kushirikiana na mkewe Kim Kardashian, wameboresha safu yake ya ulinzi(Kim) kujihami na shambulio jipya kufuatia lile la Paris lililohatarisha maisha yake na kuporwa mali zenye thamani ya zaidi ya dola milioni 10.
Sasa atakuwa na ulinzi wenye hadhi ya mkuu wa nchi. Vyanzo vilivyo karibu na Kim vimesema kuwa, sehemu ya timu yake ya ulinzi inaundwa na wafanyakazi wa zamani wa Secret Service, wenye silaha nzito.
Kutakuwepo na walau timu moja ya mapande ya watu kila aendapo. Pia gari yake itakuwa na silaha.
Baada ya shambulio hilo la Paris, Kim alikutana na wanajeshi wa zamani wa jeshi la Israel, CIA pamoja na wafanyakazi wa zamani wa Secret Service. Kanye alikutana na wamiliki wa makampuni makubwa mawili ya ulinzi.
Mlinzi wake, Pascal Duvier amebakizwa. Pia ulinzi umeimarishwa kwa dada zake, Kourtney, Khloe, Kendall na Kylie.
View attachment 415558
Marekani bana siyo ulayaUlaya raha Sana
Well kwa sasa fedha anayo so why risk his life? Kwa nini ujenge dhana kwamba atafilisika?Hivi akifirisika atarindwa na night support ya victoria au? Mbwembwe nyingine ni shida, Maraisi kibao walikuwa na ulinzi na wakauawa
Na wewe kwa nini ujenge dhana kwamba hatafirisika?Well kwa sasa fedha anayo so why risk his life? Kwa nini ujenge dhana kwamba atafilisika?
Why you say that bestfrndaiseehh!!life is not fair
Daah sio rahisi aiseHivi Ray J akiomba show kwa Kimberly hakosi kweli ??
kwa kweli loohh!!Pesa ina kilevi kibaya kuliko pombe yenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] na bado anasema haitoshihuoni kanye anavyochezea pesa?!
daah
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23] na bado anasema haitoshi
Walikua wanaviorodhesha kwenye notebook na walikua na calculator[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Binti alizidi kuonyesha ving'aro ng'aro vyake kwenye social media na kusema gharama ya kila king'aro ng'aro chake. Hiki milioni ngapi na kile milioni ngapi blah blah blah kumbe njemba zinapiga mahesabu tu jinsi ya kuvichukua ving'aro ng'aro hivyo na hatimaye wamefanikiwa tena kirahisi mno.
Walikua wanaviorodhesha kwenye notebook na walikua na calculator[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmmmmh hizo boobs za khardasian hatari tupu yani