Picha: Kashfa nzito "tegeta zoo", simba atafuna mtoto. Mmiliki bwana kusaga anataka kuifunika.

Sometimes kumbe huwa una point. Sasa ongea basi na hao wenye kijani aka kikundi cha dhaifu wafanyie kazi mawazo yako. Maana wewe ni mshabiki wao mkubwa maybe watakusikiliza!


 
 

Aisee inaelekea sheria imekupiga chenga, imagine kwenye kila swimming pool inayotumika kibiashara kuna muangalizi, ndio ije kuwa zoo, tena ina hadi simba (the most predator animal). kaka usife moyo na michango ya watu hapa JF, huyo mtoto anatakiwa kupewa uangalizi na kama kuna fidia zozote zilipwe, kimbilia tume ya haki za binadamu utapata msaada wa kisheria haraka tu.
 
Na mimi naona hawa simba ni wazembe, simba wawili wanaishia kunyofoa nyama za paja pamoja kuachiwa wote ambapo mdada Lucy alikuwa chooni hata alipotoka akazirai hadi gabachori kaja.
 
Dah! huyo dogo nadhani alifikiri hao ni paka wakubwa kwahiyo akataka kwenda kuwakumbatia. Pamoja na hayo hapo kuna uzembe wa pande zote mbili, wazazi na wenye zoo. Nafikiri busara itumike zaidi kwa wenye zoo kumsaidia huyo mtoto apone kabisa.
 

wazazi wa mtoto wanaweza kufungua kesi ya madai na wakashinda, sijui watapata faida gani , but wataendelea kuitwa wazembe forever. They are to blame themselves in the first place. Naona kama mtoto alimshambulia simba. Wana JF endeleeni .........................
 
Hii si mara ya kwanza..kuna kipindi mwaka jana Simba alitoroka na kuleta mtafaruku tukawa tunawah kujifungia ndani..Usimamiz hii zoo ni sifuri kabisaa sishangai sababu naifahamu ni jiran na mtaa wetu Tegeta Block F

Isiwe taabu wakati kesi inaendelea tuwarudishe simba mikumi
 
Ikiwa Wizara ya Mali Asili yenyewe imechakachuliwa mara kusafirisha wanyama hai nje hii ya kutoa vibali feki bila kuweka masharti yanayoeleweka itatugharimu Watanzania. Mhe Kagasheki afuatwe Bungeni Dodoma aone mkanda mzima.
 
Je simba wanotafuna watu kwenye mbuga za wanyama serikali uwa ina fidia? au ni uzembe wa marehemu?
 

Kulingana na mtoa mada wenye Zoo walishatoa onyo kuwa unapoingia humu usalama sio Jukumu lao sasa utamwambiaje akulipe fidia na uzembe wako mwenyewe?
 
Kulingana na mtoa mada wenye Zoo walishatoa onyo kuwa unapoingia humu usalama sio Jukumu lao sasa utamwambiaje akulipe fidia na uzembe wako mwenyewe?

Tahadhari za kijinga kabisa hizo wanafikiri wanafuga nyau hapo ,tatizo kuna watu wamepewa leseni za kufanya mambo ambayo hawajui uendeshaji wake ni ubabaishaji mwanzo mwisho.
 

Hawezi kulipwa kitu. Hilo Onyo unapoingia Zoo lina maana kubwa sana kisheria la sivyo lisingewekwa. Hata unapoenda kupaki gari mahala ukakuta bango la park at your own Risk fikiria mara mbili kabla hujapaki ama kuna mlinzi au hakuna; wanapoandika Onyo sigara ni hatari kwa maisha yako... yoote hayo yana maana kisheria kuwa hicho kitu unachotaka kutumia si salama na hakuna atakae wajibika kwa madhara yoyote utakayoyapata kwa namna yoyote ile. Huyo mwenye Zoo hata hiyo 64000 aliotoa ni ubinadamu tosha.

Hao simba wenyewe walikuwa na Huruma vinginevyo wangeweza kumparamia Shingoni kama kinguruwe mwitu wakamchania chania mbali.
 
Shangaa simba?
Mtu alipasuliwa kichwa badala ya mguu we unashangaa simba kujeruhi mtoto?
Daktari bingwa anaamka asubuhi anapiga viroba anaandaa mikasi anamchukua mgonjwa na hayuko peke yake,anamchoma nusu kaputi anamnyoa nywele anaanza upasuaji anakuta hamna kitu anashona na hamna kesi wala mahala al;iposhtakiwa leo mnataka kumshitaki simba?
 
Na mimi naona hawa simba ni wazembe, simba wawili wanaishia kunyofoa nyama za paja pamoja kuachiwa wote ambapo mdada Lucy alikuwa chooni hata alipotoka akazirai hadi gabachori kaja.

hahahahahahahaaaaa... ilitakuwa na huyo Dada Lucy nae atafumwe na huyo Simba hapo palipomfanya aache watoto aende chooni. Kwani huyo simba alikuwa wa kiume au wa kike?

Haikosi kulikuwa na mkono wa ********* hapo.
 
Hii stori ilirushwa na ITV wiki kadhaa zilizopita,alipohojiwa huyu dada alokwenda na watoto alisema kwamba yeye alipokua anaendelea na malipo hapo kaunta ya zoo hao watoto waliingia ndan...ndo yakawakuta hayo,,,any way
mwanasheria anapaswa kutoa ushaur,ila najiuliza kwanini hado leo mamlaka husika hazijaifatilia hiyo ZOO,ni muda sasa umeshayoyoma
 
Pole kwa mtoto pole kwa familia, inasikitisha! wao wana pesa nyie simameni upandea wa MUNGU, poleni sana
 
Ni swali tu bandugu: Je na mwenye zoo naye akihitaji fidia
kwa sababu mtoto akuwa chini ya uangalizi wa karibu wa
watu aliokuja nao ambao pia walipaswa kuhakikisha
anakuwa chini ya uhangalizi! Sheria imekaaje hapo?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…