Picha: Kassim Mganga na Aunty Ezekiel ndani ya mahaba mazito in USA

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Staa wa filamu nchini, Aunty ezekiel kwa mara nyingine ame make headline baada ya tetesi kuzagaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa staa huyo anajivinjari na staa mwenzie wa bongo fleva, kassim mganga. Tetesi hizo zimekuja kwa kasi mara baada ya picha za wawili hao walizopiga wakiwa nchini marekani kusambaa mitandaoni, huku nyingine wakiwa wamepiga na mapozi tata, hali iliyozua minong'ono kwa mashabiki wa mastaa hao kuwa huenda wawili hao wanatoka.

Katika kuthibitisha tetesi hizo, soudy brown kupitia xxl alimpigia simu kassim mganga ili kuthibitisha uvumi huo, lakini jamaa(kassim) akionekana kucheka cheka na kutokuwa na jibu sahihi kuhusu tuhuma hizo, soudy aliendelea mbele na kumuuliza kassim kama wapo wote na aunty ezekiel, ambapo alikubali kuwa wapo wote ila alipotaka kumpa simu aunty ezekiel ,ndipo sauti ya aunty iliposikika kwa mbali kwenye simu, hata hivyo haikujulikana aunty aliongea nini. aunty alikataa kuongea na simu hiyo, ndipo kassim alipomjibu soudy kuwa aunty ezekiel yupo bafuni anaoga.
 

Attachments

  • 1411042362388.jpg
    39.2 KB · Views: 4,293
Huyu si ni juzi tu Alikuwa na Yule dogo dancer wa ndomo pale airport wanapakana shombo ..?
 
Huyu si ni juzi tu Alikuwa na Yule dogo dancer wa ndomo pale airport wanapakana shombo ..?

Kashapigwa nao huyo, si alisema anategemea madanga we unadhan ataachwa uko
 
Hivi ndoa na mume wa huyu viliishiaga wapi?

Kweli ustaa gunia la misumari
 
Mbona naona wanakula vitumbua jamani au hayo mahaba yako wapi? Tena huyo kassim anaonekana yuko bize na simu yake anafungua jf jukwaa la MMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…