warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Staa wa filamu nchini, Aunty ezekiel kwa mara nyingine ame make headline baada ya tetesi kuzagaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa staa huyo anajivinjari na staa mwenzie wa bongo fleva, kassim mganga. Tetesi hizo zimekuja kwa kasi mara baada ya picha za wawili hao walizopiga wakiwa nchini marekani kusambaa mitandaoni, huku nyingine wakiwa wamepiga na mapozi tata, hali iliyozua minong'ono kwa mashabiki wa mastaa hao kuwa huenda wawili hao wanatoka.
Katika kuthibitisha tetesi hizo, soudy brown kupitia xxl alimpigia simu kassim mganga ili kuthibitisha uvumi huo, lakini jamaa(kassim) akionekana kucheka cheka na kutokuwa na jibu sahihi kuhusu tuhuma hizo, soudy aliendelea mbele na kumuuliza kassim kama wapo wote na aunty ezekiel, ambapo alikubali kuwa wapo wote ila alipotaka kumpa simu aunty ezekiel ,ndipo sauti ya aunty iliposikika kwa mbali kwenye simu, hata hivyo haikujulikana aunty aliongea nini. aunty alikataa kuongea na simu hiyo, ndipo kassim alipomjibu soudy kuwa aunty ezekiel yupo bafuni anaoga.