Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
Wamependeza wenyewe.......
Neno lolote kwao.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zipo za zamani kidogo.Hivi kuna mtu ana picha yoyote ya Diamond na Ali Kiba wakiwa pamoja!? Maana sijawahi kuiona.
Hata kama unayo wakiwa wadogo wanacheza, mi mwenzenu sijawahi
Tunaomba tuwekee hapa kwa faida ya wengiZipo za zamani kidogo.
Tunaomba tuwekee hapa kwa faida ya wengi
Hivi kuna mtu ana picha yoyote ya Diamond na Ali Kiba wakiwa pamoja!? Maana sijawahi kuiona.
Hata kama unayo wakiwa wadogo wanacheza, mi mwenzenu sijawahi
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Haha...[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Umetisha hii kweli walikuwa wadogo sanaa!!
Halafu ju wamemuweka mtu katikati, sjui walikuwa wanahisi harufu ya fight toka kitambo!!Haha...
Kawatafuta? Kiba yupo uganda kwa dili zake kwa hiyo kawatafuta hao nduguzenu au wao ndio wamemfuata akiwa kwemye mishe zakeAlikiba bhanah! Daah,anafata nyayo za Diamond tu.
Diamond katembea na Jokate,naye huyo kajipendekeza. Diamond kamtema Wema,naye huyo kaanze naye Urafiki. Diamond kamzalisha Zari,naye huyo anawatafuta urafiki na wadogo zake na Zarinah.
Aisee,aya bhanah! Kila la kheri Kibakuli.
[emoji23] aseeeHalafu ju wamemuweka mtu katikati, sjui walikiwa wanahisi harufu ya fight toka kitambo!!
Acha povu zisizo na msingi mtoto wa kiume sijui wa kike?tulia we na blazamen wako msubiri kuitwa anko to,kabla ya diamond kanumba kaburuza sana wema,hashim kwa jokate ndo usiseme taja dem ambaye diamond alimkuta bikira apa mjini ndo useme kiba anafata nyayo,hamna hamna diamond kwa wema anaweza kuwa wa 84 kati ya wale 122.Alikiba bhanah! Daah,anafata nyayo za Diamond tu.
Diamond katembea na Jokate,naye huyo kajipendekeza. Diamond kamtema Wema,naye huyo kaanze naye Urafiki. Diamond kamzalisha Zari,naye huyo anawatafuta urafiki na wadogo zake na Zarinah.
Aisee,aya bhanah! Kila la kheri Kibakuli.
Angalia video ya Tunda man, starehe gharama, wote wapo mule kwenye kochi mojaHivi kuna mtu ana picha yoyote ya Diamond na Ali Kiba wakiwa pamoja!? Maana sijawahi kuiona.
Hata kama unayo wakiwa wadogo wanacheza, mi mwenzenu sijawahi
Sio picha tu bali video moja, Tunda Man - Starehe gharama.. wapo wote muleTunaomba tuwekee hapa kwa faida ya wengi
Asee mgoja nika i revist maana hawa jamaa kumbukumbu hazioneshi kama waliwahi hata kusalimianaAngalia video ya Tunda man, starehe gharama, wote wapo mule kwenye kochi moja