Picha: Kiba akiwa na familia ya Zari

Alikiba bhanah! Daah,anafata nyayo za Diamond tu.

Diamond katembea na Jokate,naye huyo kajipendekeza. Diamond kamtema Wema,naye huyo kaanze naye Urafiki. Diamond kamzalisha Zari,naye huyo anawatafuta urafiki na wadogo zake na Zarinah.

Aisee,aya bhanah! Kila la kheri Kibakuli.
 
Kawatafuta? Kiba yupo uganda kwa dili zake kwa hiyo kawatafuta hao nduguzenu au wao ndio wamemfuata akiwa kwemye mishe zake
 
Acha povu zisizo na msingi mtoto wa kiume sijui wa kike?tulia we na blazamen wako msubiri kuitwa anko to,kabla ya diamond kanumba kaburuza sana wema,hashim kwa jokate ndo usiseme taja dem ambaye diamond alimkuta bikira apa mjini ndo useme kiba anafata nyayo,hamna hamna diamond kwa wema anaweza kuwa wa 84 kati ya wale 122.
 
Hivi kuna mtu ana picha yoyote ya Diamond na Ali Kiba wakiwa pamoja!? Maana sijawahi kuiona.
Hata kama unayo wakiwa wadogo wanacheza, mi mwenzenu sijawahi
Angalia video ya Tunda man, starehe gharama, wote wapo mule kwenye kochi moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…