Baada ya kubeba sana boksi na kutoka hawatoki wameamua sasa kuolewa.. Yule Lukosi anaolewa lini??
Hahaha acha ukali mama kuna D hapo D=Deutschland=Germany
mbona mnamsema kaolewa mwafrika,,nani hapo kaandikwa mke ,,mme,,acheni kujisusha,,kila baya mwafrica
Hip hop City mmeniangusha, nimesikitika sana.
Ndoa imefungwa Kanisani hiyo na imebarikiwa na Yesu !
Hawa uliowataja hapa nao,wanakamchezo kama haka au ulikuwa unamanisha nini?
Hapa ndio thamani ya uchawi inatakiwa kuonekana. Familia imrushie bonge la tunguli huko huko alipo apooze kuanzia kiuno kushuka chini
Hapa ndio thamani ya uchawi inatakiwa kuonekana. Familia imrushie bonge la tunguli huko huko alipo apooze kuanzia kiuno kushuka chini
Ungemwambia tu pia kuwa UK ipo chini ya GB kwahiyo ni GB.
Inamaana huyu akishikwa na tumbu la kuhara na mume ataka mzigo si ndio atamwambia, mume wangu leo haiwezekani nimeingia mwezini.
Anaitwa John Meleck frm Arusha.
Mkuu, hao ni wadau wa Arusha hapa jamvini..na hao ni baadhi baadhi tuu
Mimi hizo tamthilia zenu za kifilipino nimeziacha tokea mwaka 2013.
Ni mwendo wa Korean series tu,tena historical ndio zaidi.
Huko hakuna ushoga ni wanaume wa shoka wanacheza na swords na mishale.....acha kabisa.