Picha: Kijana wa Arusha aolewa na mzungu UK

Picha: Kijana wa Arusha aolewa na mzungu UK

Hapa ndio thamani ya uchawi inatakiwa kuonekana. Familia imrushie bonge la tunguli huko huko alipo apooze kuanzia kiuno kushuka chini
 
Hapa ndio thamani ya uchawi inatakiwa kuonekana. Familia imrushie bonge la tunguli huko huko alipo apooze kuanzia kiuno kushuka chini

Hahahahahaaa uwiiiiii leo wadau mmeamua kunivunja mbavu!
 
Tunawaambia siku zote nyie vijana wa siku hizi tabia zenu sio za wakaida hata post zenu zina ujasiri wa ajabu, ukakamavu hamna tena huyu mwenzenu kaenda mbali zaidi. kaamua kupika na kupakua na kuchezea mikato ya kufa mtu. Wengine mnatakiwa kubadilika haraka sana ili dada zenu wasikose waume, yaani nikiona post zenu hasa katika jukwaa la siasa na jinsi mlivyopoteza uhuru wenu , nilijua tu mtaishia kuolewa, mlivyojitoa kwa wagombea wenu wangewakazia kidogo tu msinge ruka wengi.

Kijana unatakiwa kusimama mwenyewe kwa kile unachoweza kukipigania mpaka mwisho ila sio kuolewa bana.
 
Mimi hizo tamthilia zenu za kifilipino nimeziacha tokea mwaka 2013.
Ni mwendo wa Korean series tu,tena historical ndio zaidi.
Huko hakuna ushoga ni wanaume wa shoka wanacheza na swords na mishale.....acha kabisa.

Hah Nifah tupo pamoja bora wakorea, now naangalia moja inaitwa Six flying dragons yaani ni martial arts tu
 
Back
Top Bottom