angedizzle
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 590
- 504
nyie mlosema gari ni ya germany nina wasiwasi na uoni wenu. Hamko makini kabisa. Mnashadadia uongo. Embu tazameni muone gari ni namba "b" kumanisha "british" a.k.a great britain
Hah Nifah tupo pamoja bora wakorea, now naangalia moja inaitwa Six flying dragons yaani ni martial arts tu
Hahahahaaa JF raha sana.
Hahaaaaaaa uwiii
Nimekumisije binamuuu
uingereza hawaendeshi kulia
Miss youu, binamu mbona umeshtuka hvyo, ni baby wako nn yule uliyeniambia yupo UK anafany kazi, ahahahaj
Binamu lazima nishtuke mno kwa hili jambo my beiibi hawezi kufanya hivi labda awe afanya kwa siri mana siku hizi wengi sijui ni power bank you know
mhhhh hata yule mzee n wasiwasi nae yu knw
Hahahahaaa acheni hizo bwana