Picha: Kijana wa Arusha aolewa na mzungu UK

Picha: Kijana wa Arusha aolewa na mzungu UK

hapana mzee w gademu aliona bora arudi hm ale ugali w bure kwa baba......kuna mmoja yuko humu jf anaanza na B huwa anatetea uchoko sana humu...naona ndio yeye kaolewa

Huyo B hebu nitumiepo PM.
Ila humu mbona machoko wako wengi tu?
Mwingine alitangaza kujiua last week.
 
Kwanini asingefunga na mwanamke kama ishu ni hivyo? Acha kupotosha

Mkuu angefunga na mwanamke wala isingekua big deal kwa sababu na wao huo mchezo wanaujua.

Ni mwaka jana tu watanzania waligoma kurudishwa Tz kutoka Australia kwa madai kuwa wanashiriki mapenzi ya Jinsia moja.

Kwa sabababu wenzetu wanazingatia sana haki za wapenzi ya Jinsia moja Waafrica wengi wameona kama ni opportunity kwa sasa.
 
Daah wamejionea ni opportunity kuendelea kumwagwa Mavi kizembe
 
Chalii Kaolewa,, hahahaha!!! wanajiitaga wenyewe watafutaji duh sasa huu ndio utafutaji?? kumbe huu ndio mchezo wenu, muwe mnatuambia na weusi wenzenu bana sio mnawapa wazungu tu!!
 
attachment.php

Ni kijana, mtanzania mwenzetu, akifunga ndoa na mwanaume mwenzie huko nchini Uingereza! Naogopa kulitaja jina lake, ili ndugu na jamaa zake wasijepagawa!!
Hapo nilipobold ni kweli maana yawezekana alifanya hii kitu kwa siri kubwa na pengine mama au baba ni memba hapa jf.Kuna mtu kuzimia hapa!
 
Nasikia alikuwa anamiliki bar maarufu ya mashoga maeneo ya sakina Arusha.

Dunia imeisha!
 
Huyu kijana wa kimeru ameponzwa na tamaa ya fedha. Kadhalilisha sana jamii ya waafrika.
 
Isee!!! Mwanaume unamvalisha pete mwanaume mwenzio huku umepigia suti na tai kubwa!!! Kisha unainamishwa?

Stupidity.
 
Back
Top Bottom