Picha: Kijana wa Arusha aolewa na mzungu UK

Picha: Kijana wa Arusha aolewa na mzungu UK

Mnamshambulia kama nyie wasafi wakati kati yenu mnawa,,,,mademu zenu na wengine ndio michezo ya vijana wengi dar arusha moshi morogoro,,,tofauti hapo ipii,,wabongo mmekosa lakufanya umbea tu,,fanyeni kazi na mlee vijana wenu kwa maadili,,,hayo hayawahusu kwaza mnafanya maozo zaidi yao
 
vp ni mdogo wako huyo anaolewa nn mbona povu sana
 
Mpaka amemuoa ujue kampagawisha vilivyo akaona bora awe anajichotea kbs..!!
 
......... msipotoshe kwa kukwepa ukweli, huyu kijana wa Arusha, maeneo ya Sakina. Anamiliki Bar na huwa panajaa mashoga wengi katika Bar yake. Kama vile kwa Macheni hapo dar enzi zileee !

Kumbe ndo mulivyo huko arusha? Oh my god
 
attachment.php
attachment.php

Rudini Africa tupambane na maisha mbona mnatia aibu hivyo? ni bora kufa ukiwa fukara kuliko aibu hizi!
Dah.
Kijana wetu Nyani Ngabu kapata mwenzake wa kula nae bata.
Teh teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Hata kama ni wa Arusha kwani Arusha yote imeolewaa...?? Tusianze kuharibiana sifa ya mikoa yetu!!
 
......... msipotoshe kwa kukwepa ukweli, huyu kijana wa Arusha, maeneo ya Sakina. Anamiliki Bar na huwa panajaa mashoga wengi katika Bar yake. Kama vile kwa Macheni hapo dar enzi zileee !

Tatizo vijana wengi wa Arusha wanapenda sana wazungu ili wapate mteremko wa maisha ..ndio madhara yenyewe haya.. hapo akirudi arusha atafunguliwa Tours company..
 
Kuna uhakika gani kuwa ni mtanzania? Isije ikawa tunajidharirisha kwa kudhani kila mweusi ni mtanzania!!!!
 
Hii ni aibu kubwa sana kwa taifa. Duh..... Sijui ndugu zake wanajisikiaje wakiona hizi picha.
 
Wanaume wa Arusha mmetudhalilisha sana wa mikoani.. sasa hivi mnafanana na wanaume wa dar
 
Hii yote ni kutaka short cut ya maisha.mtu badala asome kwa bidii apate kazi ya maana au ajiajiri anaona kama pesa inaweza kupatikana kwa njia hii why shoul I toil?
 
Back
Top Bottom