Picha: Kijana wa Arusha aolewa na mzungu UK

Picha: Kijana wa Arusha aolewa na mzungu UK

Aisee huyo kijana amewadhalilisha mabillionaire wa Arusha na Moshi....
 
Hapana, ilipaswa iwe hivi:

Kijana wa Arachuga Aukwaa Ubilionea Baada ya Kuvishwa Pete Na Muzungu!
Teh Teh...daa kwakweli sasa Arusha panatakiwa kuitwa mji wa mabilionea daaa..
 
Kuna uhakika gani kuwa ni mtanzania? Isije ikawa tunajidharirisha kwa kudhani kila mweusi ni mtanzania!!!!

humu ametajwa mpaji lake, sasa sijui unabisha nini !? .............watu wa Arusha wamepata Shemegi !😛oa askarikambi
 
Last edited by a moderator:
Hapa ndio bado papa hajasaini ile sheria ya kuruhusu mapenzi ya jinsia moja.vijana wetu wamekwisha aisee.
 
Mkuu unasema jina hutaji nduguze wasijepagawa ilhal umeweka picture!!?bora ungeficha picha(japo haisaidii maana kijana kishaamua kuwa ch*k0) ukataja jina maana majina yanaweza kufanana but pic inaongea zaid..laana gani hii kijana anaenda kum-bong'olea huyo nguruwe mwekundu...
 
Hivi umejuaje kama mwafrika ndio kaolewa na sio aliyeoa?

To me mweusi ameolewa. Sababu: 1. Picha ambayo wanakiss white seem to be dominant. 2. Picha nyingine black ameshika ua ishara ya kumkubali mume and she looks uncomfortable yaani no pozi kabisa kimsingi anjistukia kuwa kaharibu mazee
 
Kudadeki hapa ndo bado papa hajasaini sheria kuruhusu.tumekwisha yarabi tunusuru..
 
attachment.php
attachment.php


Achana na habari ya kajala kubanjuka na mwanamuziki diamond platnums, tupilia mbali habari ya lulu kumpora bwana hamisa mobeto, habari inayozagaa kwa sasa kama moto wa kifuu kwenye mitandao ya kijamii, ni kuhusu kijana wa kiume wa kitanzania aliyekubali kuolewa na mwanaume wa kizungu huko UK, habari chini ya kapeti zinaelezea kijana huyo kuwa ni mwenyeji wa Arusha.

Hata hivyo bado haijajulikana kijana huyo anatokea familia gani na uamuzi wa familia yake baada ya kusikia kijana wao kaolewa na mwanaume mwenzie tena harusi ya kifahari.

Waongo nyie. Huyu jamaa ni mganda ameolewa na mzungu raia wa Sweden huko Stockholm Sweden baada ya kuachana na mumewe mganda mwenzake waliodumu naye kwenye ndoa kwa miaka miwili.

Huyu mtu siyo mtanzania acheni kupotosha
 
To me mweusi ameolewa. Sababu: 1. Picha ambayo wanakiss white seem to be dominant. 2. Picha nyingine black ameshika ua ishara ya kumkubali mume and she looks uncomfortable yaani no pozi kabisa kimsingi anjistukia kuwa kaharibu mazee

Umesahau jambo moja ndiye anaevishwa pete yani yule ni ------ ameolewa. POLE KWA WAAFRIKA WENZANGU TUMEDHALILISHWA
 
Msilolijua ni kama usiku wa Giza. Hiyo kitu imekua staged huyo jamaa wa Arusha kamlipa mshikaji wafunge Ndoa fake ili apate Uraia

Pia asiweze kurudishwa Tanzania kwa sababu Tanzania hizo ndoa hazikubaliki

Ingawa kafanya kwa interest zake ila ni Aibu sana kwa Taifa, tusimame pamoja kupinga ndoa za jinsia moja.

Hakukuwa na lingine la kufanya? Am just thinking aloud!
 
Mnamshambulia kama nyie wasafi wakati kati yenu mnawa,,,,mademu zenu na wengine ndio michezo ya vijana wengi dar arusha moshi morogoro,,,tofauti hapo ipii,,wabongo mmekosa lakufanya umbea tu,,fanyeni kazi na mlee vijana wenu kwa maadili,,,hayo hayawahusu kwaza mnafanya maozo zaidi yao

Dhambi unaijustfy kwa dhambi au?????
 
Back
Top Bottom