Picha: Kijana wa Arusha aolewa na mzungu UK

Picha: Kijana wa Arusha aolewa na mzungu UK

Kama ni mchaga huyu atakua mmarangu tuu, vijana wa kimarangu wanachapwa nao sana hapa mjini
 
Hii ni dhambi mbaya sana. Waarabu wanajua. Dhambi hii iwaua miji ikateketezwa kwa moto wa kiberiti kutoka kwa Mungu. Dhambi ya Sodoma na Gomora. Ni dhambi mbaya. Dhambi ya mauti.

Dhambi yenye laana mbaya. Wanadamu hawana toba, hawakumbuki wala hawafikirrii kwamba kuishi ni kufupi sana na baada ya hapa unakwenda kukutana na Mungu aliyekataza dhambi.

Wanaishi kama wanyama. Sasa hili jiafrika limekuwa bibi. Limeshikana ua. Eti li bibi arusi. Sijui lina watoto au sijui vipi.

Dhambi hii mbaya. Ninaomba Mungu aponye uzao wangu wote, damu yangu isiwe na sehemu katika dhambi hiimbaya.

Ninatoa onyo kwa wanaopenda dhambi hii mbaya. HAKIKA MTAANGAMIA NA KUINGAMIZA DUNIA KWA UOVU HUU MBAYA. MUNGU HAWI RADHI NA UPUMBAVU HUU. ACHENI NA KUTUBU MARA MOJA. ATAKYEENDELEA BAADA YA KUPATA TAARIFA HII, ADHABU YA DHAMBI HII NA IWE JUU YA KICHWA CHAKE MWENYEWE. WALA BINADAMU MWINGINE YEYOTE ASIPATILIZWE.

Mwenye sikio na asikie.

Ameeeen.
 
"Akiwa UK na ni nchi yenye sheria zake anapaswa afate tu au ahame'-@Ishmael
 
Ndg yangu afrika kuna watu wanaoyafanya maisha ya wenzao kuwa magumu ila wao na watoto wao ndy wanaishi kama wako ulaya nawao ndy wenye kutoa maamuzi nyie wengine ni wasindikizaji tu

Acha kutafuta sbb za kijinga wewe?? Siasa itakutoa utu wako!
 
Waongo nyie. Huyu jamaa ni mganda ameolewa na mzungu raia wa Sweden huko Stockholm Sweden baada ya kuachana na mumewe mganda mwenzake waliodumu naye kwenye ndoa kwa miaka miwili.

Huyu mtu siyo mtanzania acheni kupotosha

Source please
 
hata mi nmeshangaaje! kumbe wadau wanamtafuna hadi wanajiramba kah!

dah noma sanaa! Kuna mdau hapa anamjuwa kinaga ubaga ananipa mchapo kumbe ile benz yake kaongwa na uyo bwanaake! Na ule mjengo wa mbez nae kapangishiwa ...daaah!
 
Back
Top Bottom