kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
mbona mnamsema kaolewa mwafrika,,nani hapo kaandikwa mke ,,mme,,acheni kujisusha,,kila baya mwafrica
Na wewe ni mmoja wapo nini mbona povu limekutoka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona mnamsema kaolewa mwafrika,,nani hapo kaandikwa mke ,,mme,,acheni kujisusha,,kila baya mwafrica
Hii ni dhambi mbaya sana. Waarabu wanajua. Dhambi hii iwaua miji ikateketezwa kwa moto wa kiberiti kutoka kwa Mungu. Dhambi ya Sodoma na Gomora. Ni dhambi mbaya. Dhambi ya mauti.
Dhambi yenye laana mbaya. Wanadamu hawana toba, hawakumbuki wala hawafikirrii kwamba kuishi ni kufupi sana na baada ya hapa unakwenda kukutana na Mungu aliyekataza dhambi.
Wanaishi kama wanyama. Sasa hili jiafrika limekuwa bibi. Limeshikana ua. Eti li bibi arusi. Sijui lina watoto au sijui vipi.
Dhambi hii mbaya. Ninaomba Mungu aponye uzao wangu wote, damu yangu isiwe na sehemu katika dhambi hiimbaya.
Ninatoa onyo kwa wanaopenda dhambi hii mbaya. HAKIKA MTAANGAMIA NA KUINGAMIZA DUNIA KWA UOVU HUU MBAYA. MUNGU HAWI RADHI NA UPUMBAVU HUU. ACHENI NA KUTUBU MARA MOJA. ATAKYEENDELEA BAADA YA KUPATA TAARIFA HII, ADHABU YA DHAMBI HII NA IWE JUU YA KICHWA CHAKE MWENYEWE. WALA BINADAMU MWINGINE YEYOTE ASIPATILIZWE.
Mwenye sikio na asikie.
Tamthiliya na zenyewe lazima waweke scene ya ushoga sijui yaani dah hii dunia cartoon za watoto nw wanaweka ushoga ndani yake Mungu tusaidie
Mwenyezi MUNGU nisaidie kwa kizazi changu na ndugu zangu tusipate watu wa aina hii, aibu ya ukoo hii isiingie ndani kwetu
Ndg yangu afrika kuna watu wanaoyafanya maisha ya wenzao kuwa magumu ila wao na watoto wao ndy wanaishi kama wako ulaya nawao ndy wenye kutoa maamuzi nyie wengine ni wasindikizaji tu
Dhambi unaijustfy kwa dhambi au?????
Kama ni mchaga huyu atakua mmarangu tuu, vijana wa kimarangu wanachapwa nao sana hapa mjini
Waongo nyie. Huyu jamaa ni mganda ameolewa na mzungu raia wa Sweden huko Stockholm Sweden baada ya kuachana na mumewe mganda mwenzake waliodumu naye kwenye ndoa kwa miaka miwili.
Huyu mtu siyo mtanzania acheni kupotosha
Kama ni mchaga huyu atakua mmarangu tuu, vijana wa kimarangu wanachapwa nao sana hapa mjini
Tena wengi wao wanachapwa na wanyamwezi
Usitaje Moshi hapo shetan wewe!
Source please
Cheki Citizen TV Kenya Facebook page
hata mi nmeshangaaje! kumbe wadau wanamtafuna hadi wanajiramba kah!