Picha: Kijana wa Arusha aolewa na mzungu UK

Picha: Kijana wa Arusha aolewa na mzungu UK

Co@"#suc@$%- Ndo tuseme huyo kishuzi maisha yamemshinda sana mpaka kuamua kuolewa?! Alafu bila ya aibu linatabasamu!!
 
mbona mnamsema kaolewa mwafrika,,nani hapo kaandikwa mke ,,mme,,acheni kujisusha,,kila baya mwafrica
 
Hivi umejuaje kama mwafrika ndio kaolewa na sio aliyeoa?
 
attachment.php
attachment.php


Rudini Africa tupambane na maisha mbona mnatia aibu hivyo? ni bora kufa ukiwa fukara kuliko aibu hizi!

Astakafrilla.
 
Laana hizi iwe mweusi kaoa ama kaolewa,lipi nafuu?
 
Back
Top Bottom