Rudini Africa tupambane na maisha mbona mnatia aibu hivyo? ni bora kufa ukiwa fukara kuliko aibu hizi!
mbona mnamsema kaolewa mwafrika,,nani hapo kaandikwa mke ,,mme,,acheni kujisusha,,kila baya mwafrica
mbona mnamsema kaolewa mwafrika,,nani hapo kaandikwa mke ,,mme,,acheni kujisusha,,kila baya mwafrica
Nawaza hapa mama yake atakuwa anajisikiaje.