Picha: Kijana wa Arusha aolewa na mzungu UK

Picha: Kijana wa Arusha aolewa na mzungu UK

Judging straight that he is from Africa or Tanzania is a stupid point pf view..we need concrete evidence...source of info links to say a thing about this...he can be African~American...Ecuadorian~Puetorican....BUT whoever he is I'm against this 10000%...disgusting.

Unaonekana upo bize kweli kweli wewe
 
mmhhh hilo likitimoto linamkiss mwanaume mwenzake huku suruali imetuna, khaaa
jamani nilidhani wanatania uwiiii
 
Mkuu hilo jamaa limenivuruga,siku yangu imeisha vibaya sana.......

Pole mkuu mimi imebidi tu niangalie maana kuna siku nilipanda bus moja hivi basi akaingia jamaa na mke wake wote wanaume wakaanza kulana mate sasa mimi na ushamba wangu nikaanza kuwashangaa ,saa ngapi jamaa hawajanijia juu ,what the f*** ck are you staring at ?? Nilikosa cha kusema ,kuanzia hapo ule usemi wa mind your own business nikawa nautekeleza kwa vitendo
 
Baada ya kubeba sana boksi na kutoka hawatoki wameamua sasa kuolewa.. Yule Lukosi anaolewa lini??
 
Back
Top Bottom