Picha: Kikosi cha Yanga mwaka 1994

Lete na mafanikio yake hapa ndani na nje ya nchi.
 
Umenikumbusha mbali sana miaka hiyo na kizuri hawa wote ni wazawa.
 
Kwangu mimi hiki ni kikosi bora kutokea kwa kizazi chetu hiki... Nasikia kocha mpya wa Yanga kasema mule kuna wachezaji 3 tu, wengine wakafanye kazi nyingine - hao wanamuziki pia warudi kwao wakaendelee na bendi zao.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…