kende
JF-Expert Member
- Dec 2, 2013
- 3,527
- 1,668
mmmmh nani alikuambiaa???,Ina maana wanaokufa wanaenda kuzaliwa upya dunia ya pili,nani alikuambia vilee,wakati baada ya kifo ni hukumu
ndio, siye maskini tunaenda kuzaliwa Marekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmmmh nani alikuambiaa???,Ina maana wanaokufa wanaenda kuzaliwa upya dunia ya pili,nani alikuambia vilee,wakati baada ya kifo ni hukumu
ndio, siye maskini tunaenda kuzaliwa Marekani
ndio, siye maskini tunaenda kuzaliwa Marekani
Sie tumebaki kutoa zawadi za boxer na vest
hasa tunaopata shida duniani hasa Africa inabidi tukifa watupeleke pepon tu
Kwan ridhiwan apata shida?