Picha: Kiongozi wa ACT Wazalendo akijifanya mwema kwa raia kumbe ni mchumia tumbo tu

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Anatafuta kick

20221229_111141.jpg
 
Sio wewe unaeumizwa na showoff za mwanaume mwenzio? Mwenzio katafuta pesa kapata sahivi anafanya showoff zake zinakuuma. FANYA NA WEWE
 
kumbe uwanaume wake unaujua wewe lumumba ndio maana huwa nawaita nguruwe kwa kukosa akili hata kinyes chake anakula.
 
Huyu sasa ndiye mzalendo wa kweli sio kama wengine kazi yao ni kubwabwaja tu.

ACT ndio chama cha upinzani Tanzania sio hilo genge la wapayukaji na kubwabwaja.

namshauri Lisu ahamie ACT ili kuleta upinzani wa kweli nchini.
 
Picha alihitaji kwa kujionyesha yupo pamoja nao.
 
Huyu sasa ndiye mzalendo wa kweli sio kama wengine kazi yao ni kubwabwaja tu.

ACT ndio chama cha upinzani Tanzania sio hilo genge la wapayukaji na kubwabwaja.

namshauri Lisu ahamie ACT ili kuleta upinzani wa kweli nchini.
Hakuna chama cha upinzani nchi hii
 
Sema kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania utakua umeeleweka zaidi
 
Back
Top Bottom