Picha: Kipanya na deni la taifa

Picha: Kipanya na deni la taifa

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
29,909
Reaction score
32,414
1391244002428.jpg
Deni la Taifa ni Tshs. 27 trillion
kwasasa, kutoka Tshs. 21 Trillion
June 2013. Ni miezi kadhaa hata
Mwaka haujaisha.. Haya ndiyo
maelezo yao..
 
Hawa viongozi wetu ni nani kawaloga jamani? Hivi deni kubwa namna hiyo halafu kwa kinywa kipana eti linalipika na tunasifa ya kukopesheka hivi kukopa nako ni sifa mmmh. CCM iende kwanza hatujachelewa tumaini lipo mbele huko tatizo haiwezekani wachache wale maisha mazuri wengi wateseke kama tuko ukimbizini hii hapana:sad:
 
Baada ya kuwa na akili ya kujitegemea... waziri anawaza kukopa zaidi
 
Back
Top Bottom