Picha: Kipenzi cha vijana wa CHADEMA. (BAVICHA) Wanamkubali kinyama.

Ceausescu wa Tanzania, unaijua V8 wewe mtoa mada au una rusha rusha rusha tu watu toka huko Cuba?
 
The One.

Ngoja aive kwanza kwenye jukwaa la kimataifa.

Kura zako zipo nyingi Comrade.
(sio kwa bavicha wala manyumbu)
 
Bashiru alisema hatagombea na hatakubali cheo alipopewa ukatibu mkuu wa chama. Matokeo yake akapokea cha katibu mkuu kiongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…