Picha: Kocha Mkuu Mgunda akiwa ameungana na Simba SC safari kuwafuata Nyasa Big Bullets

Kama umesoma Cuba, tafuta tweter ya barbra alivyosema kuhusu makocha wazawa uone na hiki simba walichokifanya, hapo utajua kuwa mgunda huenda akawa wa kudumu.
Ajaribiwe tumuone. Hatuwezi kuwa na makocha bora bila kuwapa majukumu makubwa na kuwawezesha. Kukosea kupo ila tuwavumilie kidogo, kama wanavyokosea wazungu tukawapa muda.
 
Naisubiri simba yangu kimataifa. Simba ni timu ya ajabu. Inapocheza ndani ni tofauti na nje.
Huu ni mfano wa msimu uliopita, kwenye Ligi Kuu tofauti kabisa na kwenye michuano ya CAF

Ile game home and away dhidi Orlando Pirates unaweza kudhani ndo Mabingwa wa Ligi Kuu
 
Wachezaji wa Simba wana uwezo mzuri sema hawafundishwi kupambana.
Wanacheza kama wako kwenye mazoezi hadi inafikia Beki anampasia foward akafunge shauri ya kupoteza umakini.
Simba mafala Sana, kama Jana kipindi Cha kwanza walikuwa wanacheza kwa ku-relux baada ya kupata lile goli moja, yaani Simba hawanaga mpira wakutafuta matokeo Kama wenzao yanga. Kwa uchezaji hule hawafiki mbali
 
Mguda (Pep Guardiola) kwa muda huu mfupi na Timu, anatakiwa akiwashe ile mbaya. Approve kuwa wapo Watanzania wakiaminiwa kwenye hivi vilabu vya Kariakoo wanaweza.
Huyu alitimuliwa Coastal baada ya kutaka kuishusha,walinusulika play off kwa kuifunga Pamba
 
Kikubwa uhai na afya kwa wachezaji mengine mwlm atayarekebisha. Tuna imaaniii na Mguuundaaaa hoyaa hoyaa hoyaaa
 
Sio vibaya tuamini vya kwetu sasa unaleta wageni bado mambo ni yale yale na option tunazo hapa nyumbani
Sawa na mimi nipo na wewe kwa hilo je wanasimba wana huo uvumilivu?
 
Pablo anazidiwa mbinu na mgunda,soka la afrika ni la aina yake sio sawa na ulaya,lazima upate mtu anayelielewa,mgunda ni mtu sahihi kwa muda huu japo najua atatafutwa mwingine wa kudumu
Simba iwe na kocha wa kudumu tangu lini? Wote ni makocha wa muda, hata wakileta kocha Mzungu naye atakuwa wa muda tu hakuna utaratibu wa kocha wa kudumu Simba.
 
Kikubwa uhai na afya kwa wachezaji mengine mwlm atayarekebisha. Tuna imaaniii na Mguuundaaaa hoyaa hoyaa hoyaaa
Huyu Mgunda inaonekana anapenda sana kupanda ndege, kachoka kupanda raha Leo.

Huyu ni Mayele ndio atahitimisha kibarua chake hapo makolo state.
 
Simba iwe na mocha wa kudumu tangu lini? Wote ni makocha wa muda, hata wakileta mocha Mungu naye atakuwa wa muda tu hakuna utaratibu wa kocha wa kudumu Simba.
Simba ni chelsea ya bongo,haturembi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…