Mbigirikavu
Senior Member
- Aug 19, 2022
- 101
- 118
Naisubiri simba yangu kimataifa. Simba ni timu ya ajabu. Inapocheza ndani ni tofauti na nje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajaribiwe tumuone. Hatuwezi kuwa na makocha bora bila kuwapa majukumu makubwa na kuwawezesha. Kukosea kupo ila tuwavumilie kidogo, kama wanavyokosea wazungu tukawapa muda.Kama umesoma Cuba, tafuta tweter ya barbra alivyosema kuhusu makocha wazawa uone na hiki simba walichokifanya, hapo utajua kuwa mgunda huenda akawa wa kudumu.
Huu ni mfano wa msimu uliopita, kwenye Ligi Kuu tofauti kabisa na kwenye michuano ya CAFNaisubiri simba yangu kimataifa. Simba ni timu ya ajabu. Inapocheza ndani ni tofauti na nje.
huyo Barbra sijui Barabara ndio hatumtaki kabisa aondokeKama umesoma Cuba, tafuta tweter ya barbra alivyosema kuhusu makocha wazawa uone na hiki simba walichokifanya, hapo utajua kuwa mgunda huenda akawa wa kudumu.
Simba mafala Sana, kama Jana kipindi Cha kwanza walikuwa wanacheza kwa ku-relux baada ya kupata lile goli moja, yaani Simba hawanaga mpira wakutafuta matokeo Kama wenzao yanga. Kwa uchezaji hule hawafiki mbaliWachezaji wa Simba wana uwezo mzuri sema hawafundishwi kupambana.
Wanacheza kama wako kwenye mazoezi hadi inafikia Beki anampasia foward akafunge shauri ya kupoteza umakini.
Huyu alitimuliwa Coastal baada ya kutaka kuishusha,walinusulika play off kwa kuifunga PambaMguda (Pep Guardiola) kwa muda huu mfupi na Timu, anatakiwa akiwashe ile mbaya. Approve kuwa wapo Watanzania wakiaminiwa kwenye hivi vilabu vya Kariakoo wanaweza.
Sawa na mimi nipo na wewe kwa hilo je wanasimba wana huo uvumilivu?Sio vibaya tuamini vya kwetu sasa unaleta wageni bado mambo ni yale yale na option tunazo hapa nyumbani
Simba iwe na kocha wa kudumu tangu lini? Wote ni makocha wa muda, hata wakileta kocha Mzungu naye atakuwa wa muda tu hakuna utaratibu wa kocha wa kudumu Simba.Pablo anazidiwa mbinu na mgunda,soka la afrika ni la aina yake sio sawa na ulaya,lazima upate mtu anayelielewa,mgunda ni mtu sahihi kwa muda huu japo najua atatafutwa mwingine wa kudumu
Huyu Mgunda inaonekana anapenda sana kupanda ndege, kachoka kupanda raha Leo.Kikubwa uhai na afya kwa wachezaji mengine mwlm atayarekebisha. Tuna imaaniii na Mguuundaaaa hoyaa hoyaa hoyaaa
Simba ni chelsea ya bongo,haturembiSimba iwe na mocha wa kudumu tangu lini? Wote ni makocha wa muda, hata wakileta mocha Mungu naye atakuwa wa muda tu hakuna utaratibu wa kocha wa kudumu Simba.
Tunawazs kimataifa unawaza mayele,uto banaHuyu Mgunda inaonekana anapenda sana kupanda ndege, kachoka kupanda raha Leo.
Huyu ni Mayele ndio atahitimisha kibarua chake hapo makolo state.