Picha: Kocha Mkuu Mgunda akiwa ameungana na Simba SC safari kuwafuata Nyasa Big Bullets

Sasa ni rasmi Coastal Union na Azam Fc ni simba B. Haihitaji ushahidi mwingine wowote ule.

Ndiyo maana mara zote wakicheza na Yanga ni kukamia kiasi cha kutaka hata kuwavunja kabisa wachezaji wa Yanga! Ila wakicheza na kaka zao simba, ni kujilegeza tu. Kumbe wanajuana nyuma ya pazia.

Angalia ile faulo ya Mtenje! Angalia faulo ya Sospeter Banyana!! Angalia huu uteuzi wa Juma Mgunda from nowhere!!!
 
Msitegemee makubwa sana kwa Mgunda, bado mapema maana akili za makolo mnzijuwa wanyewe, kesho hamkawii kusema bora matola anaijua tomu from scratching.
Adeni Rage alisema "mashabiki wengi wa Simba ni MBUMBUMBU kabisa".
 
Na singida big stars na yanga ni moja ni yanga princess na nyingine ni yanga senior team mwigulu aliwapa mpaka feisal buree kabisa ila utopolo kumbukumbu zao wanaiwazia mabaya simba tu nyi mkikutana na singida mnajipigia alitaka kuwapa mzungu ila wachezaji wenu wa kigeni walikuwa wamezidi tayari sasa hapo tofauti iko wapi.
 
Yanga hatuna mafunagamano yoyote yale na hiyo Singida Big Stars yako! Kuhusu huyo Mbrazil, hizo zilikuwa ni tetesi tu za uongo!

Na kama ni kuhusu Feisal, huyo alinunuliwa na Yanga kama vile na nyinyi mlivyo uziwa Habib Kiyombo. Mchezaji mwenyewe alipenda kucheza timu kubwa. Hivyo hakuna jipya hapo.

Mbaya zaidi, alianza kuja kwenu! Bahati mbaya mkamdengukia! Mwisho wa siku akachagua mahali salama.
 
Kocha wa timu za Coastal Union SC na Simba SC ameondoka leo nchini na Klabu ya Simba kuelekea Malawi kwenye kushiriki mashindano ya CAF!

Atakaporudi ataendelea kuzifundisha timu zake za Coastal Union na Simba kwenye mashindano la ligi ya NBC na Mashindano ya CAF!
 
Angalia list ya viongozi wa singida wote waliwahi kuhudumu yanga katika nafasi mbali mbali au umepanga debate wakati inajulikana wazi kuwa singida big stars ni yanga B
 
Simba inaonekana wazi hawamuamini Matola, sijui anafanya nini pale klabuni.
 
πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜‚ kocha Mgunda mtaalam wa uchawi, safar hii makolo mtacheza ndondo cup manyoko zenu... Dejan Mdhunguuu akimuona Mgunda atadhania labda naye kaja kufanya mazoez apunguze mwili
 
πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜‚ kocha Mgunda mtaalam wa uchawi, safar hii makolo mtacheza ndondo cup manyoko zenu... Dejan Mdhunguuu akimuona Mgunda atadhania labda naye kaja kufanya mazoez apunguze mwili
Alisikika nyani mmoja tokea pori la geza ulole
 
Simba iwe na kocha wa kudumu tangu lini? Wote ni makocha wa muda, hata wakileta kocha Mzungu naye atakuwa wa muda tu hakuna utaratibu wa kocha wa kudumu Simba.
Hebu niambie kwa ulimwengu huu wa kisoka karne hii kuna club inakocha wa kudumu
Au unataka tubold yale maneno ya luc eymael?
 
Simba inaonekana wazi hawamuamini Matola, sijui anafanya nini pale klabuni.
Matola madevu hana sifa za kuwa kocha mkuu michuano ya CAF.

Mnachoweza kumsaidia badala ya kumuundia zengwe aondoke mtafutieni Chuo bora na apewe full sponsorship na Simba akasome atakuwa kuwafaa mbele ya safari.

Ila kwakuwa hatuoni mbali hamuwezi kuwaza jinsi ya kumtumia Matola na kumpa asante yake kama bonus Kwa kumpeleka shule spate daraja litakalompa sofa ya kufanyakazi popote, ukichanganya na uzoefu wake atakuwa Bonge la kocha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…