Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Hivi course ya ukocha daraja A ni muda gani...?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu uchawi sasahuyo Barbra sijui Barabara ndio hatumtaki kabisa aondoke
Kweli mkuuMguda (Pep Guardiola) kwa muda huu mfupi na Timu, anatakiwa akiwashe ile mbaya. Approve kuwa wapo Watanzania wakiaminiwa kwenye hivi vilabu vya Kariakoo wanaweza.
Adeni Rage alisema "mashabiki wengi wa Simba ni MBUMBUMBU kabisa".Msitegemee makubwa sana kwa Mgunda, bado mapema maana akili za makolo mnzijuwa wanyewe, kesho hamkawii kusema bora matola anaijua tomu from scratching.
Na singida big stars na yanga ni moja ni yanga princess na nyingine ni yanga senior team mwigulu aliwapa mpaka feisal buree kabisa ila utopolo kumbukumbu zao wanaiwazia mabaya simba tu nyi mkikutana na singida mnajipigia alitaka kuwapa mzungu ila wachezaji wenu wa kigeni walikuwa wamezidi tayari sasa hapo tofauti iko wapi.Sasa ni rasmi Coastal Union na Azam Fc ni simba B. Haihitaji ushahidi mwingine wowote ule.
Ndiyo maana mara zote wakicheza na Yanga ni kukamia kiasi cha kutaka hata kuwavunja kabisa wachezaji wa Yanga! Ila wakicheza na kaka zao simba, ni kujilegeza tu. Kumbe wanajuana nyuma ya pazia.
Angalia ile faulo ya Mtenje! Angalia faulo ya Sospeter Banyana!! Angalia huu uteuzi wa Juma Mgunda from nowhere!!!
Yanga hatuna mafunagamano yoyote yale na hiyo Singida Big Stars yako! Kuhusu huyo Mbrazil, hizo zilikuwa ni tetesi tu za uongo!Na singida big stars na yanga ni moja ni yanga princess na nyingine ni yanga senior team mwigulu aliwapa mpaka feisal buree kabisa ila utopolo kumbukumbu zao wanaiwazia mabaya simba tu nyi mkikutana na singida mnajipigia alitaka kuwapa mzungu ila wachezaji wenu wa kigeni walikuwa wamezidi tayari sasa hapo tofauti iko wapi.
Safi wacha makocha wazawa nao waongoze hizi timu kubwa👍Kocha mkuu wa muda Juma Mgunda akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mapema leo September 8 akiwa ameungana Kikosi cha Simba SC, Wekundu wa Msimbazi, safarini kuelekea nchini Malawi kuifuata Nyasa Big Bullets kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika CAFCL.View attachment 2349638View attachment 2349639View attachment 2349640View attachment 2349641
Angalia list ya viongozi wa singida wote waliwahi kuhudumu yanga katika nafasi mbali mbali au umepanga debate wakati inajulikana wazi kuwa singida big stars ni yanga BYanga hatuna mafunagamano yoyote yale na hiyo Singida Big Stars yako! Kuhusu huyo Mbrazil, hizo zilikuwa ni tetesi tu za uongo!
Na kama ni kuhusu Feisal, huyo alinunuliwa na Yanga kama vile na nyinyi mlivyo uziwa Habib Kiyombo. Mchezaji mwenyewe alipenda kucheza timu kubwa. Hivyo hakuna jipya hapo.
Mbaya zaidi, alianza kuja kwenu! Bahati mbaya mkamdengukia! Mwisho wa siku akachagua mahali salama.
Sidhani ila ngoja tuoneSawa na mimi nipo na wewe kwa hilo je wanasimba wana huo uvumilivu?
Alisikika nyani mmoja tokea pori la geza ulole😂😅😂 kocha Mgunda mtaalam wa uchawi, safar hii makolo mtacheza ndondo cup manyoko zenu... Dejan Mdhunguuu akimuona Mgunda atadhania labda naye kaja kufanya mazoez apunguze mwili
Hebu niambie kwa ulimwengu huu wa kisoka karne hii kuna club inakocha wa kudumuSimba iwe na kocha wa kudumu tangu lini? Wote ni makocha wa muda, hata wakileta kocha Mzungu naye atakuwa wa muda tu hakuna utaratibu wa kocha wa kudumu Simba.
Matola madevu hana sifa za kuwa kocha mkuu michuano ya CAF.Simba inaonekana wazi hawamuamini Matola, sijui anafanya nini pale klabuni.