PICHA: Kuelekea Mchezo wa watani wa Jadi, wachezaji wa Simba SC Tanzania wakutana na Sangoma.

PICHA: Kuelekea Mchezo wa watani wa Jadi, wachezaji wa Simba SC Tanzania wakutana na Sangoma.

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Kuelekea mchezo wa mpira wa miguu maarufu sana Afrika Mashariki na Kati wa watani wa Jadi baina ya Simba SC na Yanga SC..

Uongozi wa Klabu ya Simba SC umeamua kuwapeleka wachezaji wake kwa Mganga wa kienyeji (Sangoma) kwa lengo la kubusti morali yao na kuwaongozea vichocheo vya ziada vya kuwawezeshe kupata ushindi dhidi ya watani wao ambao kwa rekodi za haraka haraka na za kwa ujumla wamekuwa wakipoteza mechi nyingi sana kwa kufungwa ukilinganisha zile za kushinda tangu kuanzishwa kwa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Hivyo basi siku ya Jumamosi Asubuhi waliweza kupatiwa huduma hiyo na kutokana na kikosi kizima cha Klabu kutakiwa kupatiwa dawa, klabu ililazimika kusitisha kuweka kambi Zanzibar siku zilizopita.

FB_IMG_1538285970168.jpg
FB_IMG_1538285967136.jpg
 
Nikiwa na cheti cha ukocha wa soka ambao hata hivyo sikitumii nasema ushindi kwa Simba leo sio Okwi wala Kagere anao Salamba tuuu. Mark there.
 
Nikiwa na cheti cha ukocha wa soka ambao hata hivyo sikitumii nasema ushindi kwa Simba leo sio Okwi wala Kagere anao Salamba tuuu. Mark there.
Ukupata nafasi ya kumtazama Salamba alichofanyiwa na Dante pale Samora Iringa last season?

Kama hapana, basi badilisha kauli yako.
 
Back
Top Bottom