demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Kuelekea mchezo wa mpira wa miguu maarufu sana Afrika Mashariki na Kati wa watani wa Jadi baina ya Simba SC na Yanga SC..
Uongozi wa Klabu ya Simba SC umeamua kuwapeleka wachezaji wake kwa Mganga wa kienyeji (Sangoma) kwa lengo la kubusti morali yao na kuwaongozea vichocheo vya ziada vya kuwawezeshe kupata ushindi dhidi ya watani wao ambao kwa rekodi za haraka haraka na za kwa ujumla wamekuwa wakipoteza mechi nyingi sana kwa kufungwa ukilinganisha zile za kushinda tangu kuanzishwa kwa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Hivyo basi siku ya Jumamosi Asubuhi waliweza kupatiwa huduma hiyo na kutokana na kikosi kizima cha Klabu kutakiwa kupatiwa dawa, klabu ililazimika kusitisha kuweka kambi Zanzibar siku zilizopita.