Picha:Kuna Mchongo zinahitaji karanga za zambia

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Mwenye uwezo wa kunitafutia karanga za Zambia napatikana dar .nimezikuta sehemu Ni tamu Sana karanga za asili nadhani wenzetu wa Zambia wametunza ardhi yao.nazipataje?
 
Una mechanism yoyote ya kupima ili kujua ni za singida au zambia
 
Mkuu nini kimekupata hzo karanga s za hapa tu alafu vp hvo vipele nakuheshmu sana mkuu ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…