ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mwenye uwezo wa kunitafutia karanga za Zambia napatikana dar .nimezikuta sehemu Ni tamu Sana karanga za asili nadhani wenzetu wa Zambia wametunza ardhi yao.nazipataje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gunia mojaUnataka tani ngapi unataka kifuko kimoja ujitafune tafune tu
Hovyo kabisa Gunia moja ndyo mchongo?? Bila Shaka wewe Utakuwa ni Mvulana na Sio mwanaume!Gunia moja
Mwenye uwezo wa kunitafutia karanga za Zambia napatikana dar .nimezikuta sehemu Ni tamu Sana karanga za asili nadhani wenzetu wa Zambia wametunza ardhi yao.nazipataje?View attachment 1117194View attachment 1117195View attachment 1117196
NDO UANZISHIE UZI HAHAHAHAHGunia moja