landibongo
Member
- Mar 24, 2025
- 47
- 187
jibu kwa facts sio unapost mavi matupuUkabila haukwepeki.. We ni mchaga ni mchaga huwezi kuwa Msukuma tuachage usasa.. Mtu hajui ata kichaga hajui mitaa haishi kwenye iko eneo atajua watu wanakabiliwa na changamoto zipi?? Unamchagua mtu anaishi Dodoma jimbo lipo Moshi.. Mnabaki kumsingizia nyerere nyerere thus nyerere what.. Nyerere alishamaliza yake sisi tupambanie future yetu sio ya nyerere
Zanzibar waliliona hiloUkabila haukwepeki.. We ni mchaga ni mchaga huwezi kuwa Msukuma tuachage usasa.. Mtu hajui ata kichaga hajui mitaa haishi kwenye iko eneo atajua watu wanakabiliwa na changamoto zipi?? Unamchagua mtu anaishi Dodoma jimbo lipo Moshi.. Mnabaki kumsingizia nyerere nyerere thus nyerere what.. Nyerere alishamaliza yake sisi tupambanie future yetu sio ya nyerere
Hivi Mbara anaweza kuwa mbunge na kuwakilisha Zanzibar au Pemba?Aliyetoa uzi anasema ni kutoka kagera kanda ya ziwa anahoji inawezekana vipi mtu baye sio mchaga akapata uongozi uchagani .
Ameenda mbali anasema kaskazini inapwaya akatolea mfano arusha sakata la gambo na makonda kwamba zio wazawa lakini wanagombea kisa tu wameoa maeneo hayo .
Nyerere alipinga maswala ya ukabila na udini.
Wachaga kweli kuna majimbo wabunge wao sio wachaga mfan jimbo la siha lakini freshi tu hawajahoji
Mbona wachaga wenyewe hawana shida inakuaje wewe unaumia .
stop tribalism,stop kujiona bora
Jamani mkisema hivyo Kwimba kuna Mbunge ni Muhindi na hana nyumba wala famiia yake jimboni hapa kiukweli inashangaza sanaUkabila haukwepeki.. We ni mchaga ni mchaga huwezi kuwa Msukuma tuachage usasa.. Mtu hajui ata kichaga hajui mitaa haishi kwenye iko eneo atajua watu wanakabiliwa na changamoto zipi?? Unamchagua mtu anaishi Dodoma jimbo lipo Moshi.. Mnabaki kumsingizia nyerere nyerere thus nyerere what.. Nyerere alishamaliza yake sisi tupambanie future yetu sio ya nyerere
Who de fvck is mzawa ?Hasiye mzawa hajui matatizo ya wazawa.
Una elimu ndogo sana ila una ujasiri debe wa kujitutumua.Ukabila haukwepeki.. We ni mchaga ni mchaga huwezi kuwa Msukuma tuachage usasa.. Mtu hajui ata kichaga hajui mitaa haishi kwenye iko eneo atajua watu wanakabiliwa na changamoto zipi?? Unamchagua mtu anaishi Dodoma jimbo lipo Moshi.. Mnabaki kumsingizia nyerere nyerere thus nyerere what.. Nyerere alishamaliza yake sisi tupambanie future yetu sio ya nyerere
Wakamuulize Davis Mosha pamoja na Uchagga na utajiri kisa tuu haishi Moshi watu wakala hela zake na Ubunge hakupata.Ukabila haukwepeki.. We ni mchaga ni mchaga huwezi kuwa Msukuma tuachage usasa.. Mtu hajui ata kichaga hajui mitaa haishi kwenye iko eneo atajua watu wanakabiliwa na changamoto zipi?? Unamchagua mtu anaishi Dodoma jimbo lipo Moshi.. Mnabaki kumsingizia nyerere nyerere thus nyerere what.. Nyerere alishamaliza yake sisi tupambanie future yetu sio ya nyerere
Si wanasemaga kuwa wachagga ni wakabilaAliyetoa uzi anasema ni kutoka kagera kanda ya ziwa anahoji inawezekana vipi mtu baye sio mchaga akapata uongozi uchagani .
Ameenda mbali anasema kaskazini inapwaya akatolea mfano arusha sakata la gambo na makonda kwamba zio wazawa lakini wanagombea kisa tu wameoa maeneo hayo .
Nyerere alipinga maswala ya ukabila na udini.
Wachaga kweli kuna majimbo wabunge wao sio wachaga mfan jimbo la siha lakini freshi tu hawajahoji
Mbona wachaga wenyewe hawana shida inakuaje wewe unaumia .
stop tribalism,stop kujiona bora
Msamehe tu. Kuandika kwenyewe hajui. Unafikiri yupo sawa?Aliyetoa uzi anasema ni kutoka kagera kanda ya ziwa anahoji inawezekana vipi mtu baye sio mchaga akapata uongozi uchagani .
Ameenda mbali anasema kaskazini inapwaya akatolea mfano arusha sakata la gambo na makonda kwamba zio wazawa lakini wanagombea kisa tu wameoa maeneo hayo .
Nyerere alipinga maswala ya ukabila na udini.
Wachaga kweli kuna majimbo wabunge wao sio wachaga mfan jimbo la siha lakini freshi tu hawajahoji
Mbona wachaga wenyewe hawana shida inakuaje wewe unaumia .
stop tribalism,stop kujiona bora
Naskia rais wao ni kutoka mkurangaHivi Mbara anaweza kuwa mbunge na kuwakilisha Zanzibar au Pemba?
Upo swahihi.Nenda kagombee uwakilishi Zanzibar ili huu uzi wako niuelewe.Aliyetoa uzi anasema ni kutoka kagera kanda ya ziwa anahoji inawezekana vipi mtu baye sio mchaga akapata uongozi uchagani .