Watu wengi hawajui,kinachowaumiza wahaya na kufanya mkoa wa Kagera usiendelee ni ukabila.Umaskini wa ule mkoa ni wa kujitakia.Mhaya yuko tayari kuzuia maendeleo kama yanaletwa na kabila lingine.Hali ya umaskini Kagera inatisha haswa vijijini hali ni tete