Picha: Kuna uwezekano Tanasha ( Mke mtarajiwa wa Diamond) alishawahi kuwa Chakula ya Ali Kiba ( Yeeeebabaaaaaaa)

Picha: Kuna uwezekano Tanasha ( Mke mtarajiwa wa Diamond) alishawahi kuwa Chakula ya Ali Kiba ( Yeeeebabaaaaaaa)

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Ndio maana msela alipoona Diamond kaanzisha mahusiano na Tanasha, King Akaamua kuachia ngoma ya Yeeeebabaaaaaaa aaaaaa! Sikujua hicho kionjo kilikuwa kinalennfa Nini ila Sasa nimeshajuwa Screenshot_20181231-134325.png
Screenshot_20181231-134325.png
 
Tafuta nyimbo ya ali k ft christian bela nagharamia ndo urudi hapa ,
jinga wew
 
Kwani kunaubaya gani? Kwani watu wanaoa bikra nowadays katika watano hata mmoja hayupo...mleta mada usikute umeoa mke aliyeachika
 
Back
Top Bottom