GE2025 PICHA: Kwa Hakika Rais Samia Ni Chaguo La Mungu Kwa Haya Mafuriko Ya Wana Arusha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Your browser is not able to display this video.

Kumbe watu wamepigwa mkwara na kufungiwa biashara na kupelekwa kwa nguvu uwanjani halafu uso wa mbuzi mmoja anasema wamejaa sababu wanamkubali bi Mwenda.

Hakika zama za teknolojia uongo ni ngumu kuulinda
Your browser is not able to display this video.
 
Na watu wa Krokoni… nimepita jana wamefunga hadi biashara zao. Upuuzi tu 🚮
 
Jana watoto walirudishwa Asubuhi kutoka shule na walimu wote wakaamriwa waende uwanjani , na wanafunzi wa secondary wakaambiwa wavae nguo za nyumbani waende uwanjani
 
Hata shetani ni mungu kwa wale waabudu shetani.
 
Hii ni hatari sana.
Wanachukua watu wanaopambana kukuza ucchumi na kuwatumia kwenye mambo ya hovyo.

Mfano mwingine ni huu wa kufunga barabara(huko huko Arusha)
👇👇
TAARIFA.
KUTOKANA NA SABABU ZISIZOZUILIKA KESHO TAREHE 03.10.2025 BARABARA YA ARUSHA - MAKUYUNI - KARATU ITAFUNGWA KWA MUDA MUDA WA ASUBUHI NA BAADAE MCHANA, TUNASHAURI WAGENI KUTOKA KARATU WACHUKULIWE ASUBUHI MAPEMA KABLA YA NJIA KUFUNGWA 09:00. NA BARABARA ITAKAPOFUNGULIWA GARI ZA UTALII ZITAENDELEA KUPEWA KIPAUMBELE ILI WAGENI FIKE VIWANJA VYA NDEGE. BY POLISI UTALII ARUSHA
 
Hivi tusema tu ukweli kutoka ndani ya mioyo yetu kuna haja Gani ya CCM kufanya kampeni?? Kama hata mpina Wa ACT wamempiga pini ni nani mwingine wanashindana nae??

Gharama kubwa katika misafara ,posho gharama za hotels wanazozunguka huko mikoani ni za Nini? Kwa Nini wanachoma pesa za watanzania kiasi hiki?

Wameshafanikisha kuwamaliza wapinzani wote Cha kufanya afanye kampeni zake online maana hakuna mwingine unaeshindana nae
 
Kwani huko nyumbani simmefungia hii platfom au imefungwa kwa wanaowakata chawa na maboss zao tu?
 
Watu WAMEGOMA kujitia NAJISI. Uchaguzi huu haipo ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…