Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaan kwa akili zako timamu unaamini huu upumbavu wamefanya Yanga???Hizi namba zilizofanya haya mazungumzo zifuatiliwe ukweli ufahamike. Uhuni kama huu hausaidii kuinua kiwango chetu cha mpira. Unadumaza sana.
View attachment 709509
Na ww nunua si zinauzwa???Ndiomana mnapigwa hata na makilikili kwa kuwa mshazowea kununha mech vyura
Ushahidi unauona,wivu Wa nini?achane wivu, na unafiki, acheni kutengeneza maneno, mech yenu na mbao, kwa hiyo muliwahonga mbao?
Kwa hiyo ww nyoko utamfunga simbaHuu ni ungedere. Mnataka kututoa mchezoni. Na mtahangaika sana. Kaeni mkijua zimebaki point tatu tu. Na mna mechi na sisi. Pambavu zenyu
Wewe umeshacheza nae[emoji23][emoji23][emoji23]Point 3 zinatia presha kumbe! Mtibwa next
Nadhani hilo siyo swali kwa sababu halijakidhi vigezo vya kuwa swali. Hapo pigia mstari.Kwa hiyo ww nyoko utamfunga simba
Wameanza kupoteza njia. Hapo wanawaandaa mashabiki wao kisaikolojia wapokee ubingwa wa Yanga. Hawana jipyaachane wivu, na unafiki, acheni kutengeneza maneno, mech yenu na mbao, kwa hiyo muliwahonga mbao?