Picha: Kwa hili suala la Yanga kuhusishwa na Rushwa ushindi mechi ya Kagera Lifuatiliwe kwa Umakini

[emoji23][emoji23][emoji23]Point 3 zinatia presha kumbe! Mtibwa next
 
Nmeandaa mablanketi nifue maana najua kuna povu zito linakuja
 
Gudume bora uendelee kupost zile story zako za kugegedana lkn huku ulikochagua utaambulia aibu
 
Reactions: ram
Wameshaanza kuweweseka! Na bado mpaka kieleweke! Zile swaga za sijui Malinzi, mara viporo zimewashinda mnaunda nyingine. Mikia ni watu wa ajabu sana, wanadai yanga ni ombaomba na miezi 4 wachezaji hawajalipwa mishahara! sasa hela ya kuhonga inatoka wapi? Mtupishe!
 
Rage hakukosea kuwaita hawa watu mbumbumbu, mmedanganyana mna kikosi cha billion sasa zimebaki 3 tu mnaanza kuandaa barua za kupeleka FIFA.
Hiyo conversation hata watoto wa certificate wanatengeneza kirahisi mno na zimetengenezwa nyingi mno kunzia kwenye uwanja wa siasa mpaka huku nyinyi mbumbumbu wahed.
 
Hahahaha mikia wameanza kasheshe zao,safari hii mmefanya vizuri sana kuanza mapema kuwadanganya mbumbumbu wenzenu
 
achane wivu, na unafiki, acheni kutengeneza maneno, mech yenu na mbao, kwa hiyo muliwahonga mbao?
Wameanza kupoteza njia. Hapo wanawaandaa mashabiki wao kisaikolojia wapokee ubingwa wa Yanga. Hawana jipya
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hivi bado point ngapi???????????
 
Hahahahaa jamaa washaanza kutapatapa kama kawaida yao!!
 
Mbona kama text zinazoingia ndio zina tick mbili badala ya text zinazotumwa au nimeona tofauti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…