Picha: Kwa hili suala la Yanga kuhusishwa na Rushwa ushindi mechi ya Kagera Lifuatiliwe kwa Umakini

Mikia wanaweweseka.Waliambiwa wasikubali vipolo. Mtibwa atawakata mikia
 
Malalamiko FC wameanza kuweweseka, mwenye kombe lake nakuja
 
Kama hii kweli ni aibu sana kwa timu kubwa kama yanga kununua match. Hii isipuzwe itabidi wachunguze ili tusiwe na mitimu mibovu inayofungwa hovyo match za nyumbani na timu ngeni ka township rollers
 
Kwa nafasi waliopo kagera si ya kuhongeka hata kidogo...timu inajinasua isishuke daraja itakubalije ihongwe hapo...walizidiwa tu mchezo basi...hii ligi mpaka sasa hivi kuanzia nafasi ya saba mpaka ya kumi na sita wote wako na hatari ya kushuka kuzihonga hizi timu haiwezekani kwa sasa...ila mechi mbili au tatu za mwisho zitahongeka kirahisi
 
Mikia acheni uoga, mtupishe tunakuja wenye nyumba, Yanga sio timu ya kuhonga au kununua mechi, mikia mlipomfunga Ruvu mlinunua mechi? chezeni mpira, kwa hiyo mlipotoka sare na Stand mliuza mechi? na bado.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Naona hauna swaga kabisa wewe huo ni ushindi wa kihualali kabisa atuna mda wakutoa rushwa
 
Zitunzeni hizo msg mtazipeleka FIFA kama kawaida
 
Mnataka kutu vuruga wana Yanga...Yanga hatuna hela za kutoa rushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…