Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
- Thread starter
- #21
All in all hizo ni kodi zetu.Hakuna cha gharama kubwa,kuna zaidi ya VXR 30 zilizo kwenye msafara wa Samia,Majaliwa,Magufuli,Pinda,Bushiru na Kikwete moja linauzwa sio chini ya 400M bado mafuta yake.