Picha: Kwa uzembe kabisa Serikali isivyojali mitambo yake!

Kuna wadau serikalini wanasema ST katika plate no. Maana yake ni Serikali Tajiri.
Mzee Magufuli pitia huku tafadhali, mtambo una mwezi na nusu hapo barabarani.
Na kule Mbezi ulikaa mwezi barabarani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…