Pre GE2025 PICHA: Lema, Boni Yai wakigonga tano kwa furaha kwenye mkutano mkuu CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Kitaalam tunaiitaje hii?

Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema, ambaye ni wakala wa mgombea uenyekiti Taifa wa chama hicho, Tundu Lissu, akifurahia jambo na Boniface Jacob, ambaye ni wakala wa mgombea Freeman Mbowe, wakati wa uhakiki wa wajumbe katika mkutano mkuu wa chama hicho unaofanyika leo Jumannne, Januarun 21, 2025 katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.


Pia, Soma:

 
Bony yai namshauri apunguze kula yai.huo mwili anakoelekea siko .Namkubali sana huyu Boni yai,namuonaga kama mwanaharakati genuine hivi
 
CCM wanateseka Sana Sana
 
Bony yai namshauri apunguze kula yai.huo mwili anakoelekea siko .Namkubali sana huyu Boni yai,namuonaga kama mwanaharakati genuine hivi
Kwahiyo unashauri akutane na Dkt. Janabi au sioo
 
Wakati wa TAA na Afrosh Party hawa wajumbe kesho wangepigwa million 20 na kujiunga CCM kwa kosa la

1. Kuvaa tsheti Nyekundu

2. Kuoa maendeleo ya nchi Flyover, SGR na Kiwanja cha ndege, barabara njia 10, mlimani city

Zamani waliunda TANU safari hii wajiunge tuu CCM
 
I wish ya moyoni yangekua usoni
 
Haya mambo adimu mno huwezi kuyaona CCM kamwe.
 
nadhani wanaonyesha smile za kinafiki kwa kiwango cha juu sana kwa umma 🐒
 
Hivyo ndivyo inatakiwa. Kwanini waonyeshe makasiriko? Kuna maisha yataendelea baada ya uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…