Picha: Lionel Messi wa Bercelona apanda Mlima Kilimanjaro, alikuja kutengeneza Tangazo

kapitia kenya au mkoa wa kilimanjaro? km kapandia kenya akifika kwao ataeleza mt kilimanjoro ipo kenya. wabongo tushtuke!

Nahisi atakuwa amepitia kenya,angepitia bongo tungeshapata taarifa....
 

Kwa kweli hata mimi hujiuliza hilo swali mara nyingi. Nahisi itakuwa ni uzembe au kuna maana fulani bango kuwa katika hali ile
 
Zinakutosha kweli wewe? Hivi kuna Nchi gani hapa duniani ambayo utakosa raia wake wasiomjua mess? Halafu huyo jk yeye awe na umaarufu kwa lipi kimataifa?

j kikwete alipata umaarufu pale aliposhndwa kujua chanzo cha umaskini kwa watanzania ikiwa nchi yenyewe tanzania ni tajiri wa rasimali asilia
 
Bila kumsema mzee wa magogoni, jamvi halijanoga bongo bana!!
 
Angalau atakuwa na cha kumringishia Ronaldo kwenye zawadi binafsi.
 
Jk angestukia angeongoza wajinga wajinga wengi kama alivyo ongoza watanzania wajinga kwenda kwa babu wa loliondo
 
Messi hajapanda mlima kilimanjaro ni tangazo last turkish airline yupo yeye na cobe adobe imehusika
 
Alikuja lini huyo Messi hapa bongoland, alipitia wapi, KIA au?
 
Huyo mpagazi wa kupandisha hilo bango hadi kileleni utamlipa wewe?

 
Hili Tangazo lipo kitambo sasa kwenye Media tofauti za dunia hii..... linachekesha sana. Kobe Vs Messi.


Yani huyo simba wamemfanya kama ng'ombe, hahahahaaa!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…