Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Wewe endelea kulala usingizi wa pono. Ukiamka utamkuta Lissu Ikulu.Raisi wa mtandaoni hongera zake na zako pia kwa ushindi wa mtandaoni
Jina la Yesu lihimidiwe. Asante Mungu kwa baraka na Ukuu wako unaozidi kuuonesha kwa Tundu Antiphas LissuWatu wana miminika barabarani kama nzige. kumlaki Mkombozi ...nasikia Singida wamejiapisha KUVUNJA REKODI
View attachment 1585826View attachment 1585826
View attachment 1585826
Wote tuseme Amen...Jina la Yesu lihimidiwe. Asante Mungu kwa baraka na Ukuu wako unaozidi kuuonesha kwa Tundu Antiphas Lissu
Aiseeh yani watu kama nzige sijuwi wanazipataje taarifa ...Wanajuta kumzuia kuruka na Helikopta aisee,bora wangemruhusu tu
Kwenye ikulu za ndoto nafasi zipo nyingiWewe endelea kulala usingizi wa pono. Ukiamka utamkuta Lissu Ikulu.
Lissu hatari adi jiwe anapiga magoli kuomba radhi too lateWewe endelea kulala usingizi wa pono. Ukiamka utamkuta Lissu Ikulu.
Maumivu ya ndoto kweli yapo, pole ungetumia "Vaseline hair tonic"Kama ni maumivu unayapata kweli....
Wai lebaRaisi wa mtandaoni hongera zake na zako pia kwa ushindi wa mtandaoni
Asante Mkuu usihofu Madokta na manesi wanakusubiri kila la kheri.....Maumivu ya ndoto kweli yapo, pole ungetumia "Vaseline hair tonic"
Mkuu Ratiba zetu inabidi tuziangalie upyaa Mkutano wa Moshi mjini umeshindikana watu wanamiminika mabarabarani kama nzige...Hii ni hatari !
Ndugu mbona mate kama swila vipi upo first trimester au secondRaisi wa mtandaoni hongera zake na zako pia kwa ushindi wa mtandaoni