Picha: List mpya ya top 5 marapa matajiri 2016

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Naona Diddy karudi nafasi yake tena. Na pia drake kamuondoa nadhan alikua 50 cent nafas yake hio ya 5.

5. Drake--Utajiri wa Bilioni 126 Tsh.

4. Birdman--Utajiri wa Bilion 231 Tsh.

3.Jay Z -- Utajiri wa Trilioni 1.2 Tsh.

2. Dr. DRE --Utajiri wa Trilioni 1.4 Tsh.

1.P.Diddy -- Utajiri wa Trilioni 1.5 Tsh.

Mpangilio wa PICHA kuanzia namba 5 hadi 1.





 
Ma rapper washindanishwe ku rap.

Utajiri shindanisha wawekezaji kina Warren Buffet.

Hapo kuna Dr. Dre ambaye kaingia katika hiyo list kwa sababu ya headphones zake, siyo mauzo ya album.

Vivyo hivyo P Diddy anauza mpaka pombe.

Hawa labda muwaite wafanyabiashara wanaotumia rap ndiyo list ieleweke.
 
Duuu hizo figure ni kuhusu Cash alizonazo au pamoja Mali zingine maana kama ni hivyo mbona sioni kama ni ela nyingi...
 

Fafanua mkuu , hapo ni us dollar au tanzanian shillings
 
Ni vyema ukatuwekea na vyanzo vya mapato yao..!
Figure pekee haitoshi..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…