Picha: List mpya ya top 5 marapa matajiri 2016

Picha: List mpya ya top 5 marapa matajiri 2016

Dogo unakula vumbi bongo unasema1.5 Trilion sio hela nyingi? Wabongo bana!

Izidishe mara 2100 hiyo pesa,upate pesa ya madafu.
Nazani umesoma maoni yangu kwa Hasira.. Hiyo Fedha imewekwa katika shilingi ndio mana nimepata mashaka naona kama fedha kidogo
 
Mkuu unapost na wewe uonekane umepost au vipi kaka[emoji15] ....Dr Dre akiwa aged 16 alishamtemesha mtu mate wewe unasema hana mtoto?u must be kidding dude!



pitia huko post za nyuma wenzio washanielewesha vizur hawajaleta ujuaji kama wako ili na wewe uonekane unajua au?
 
Wakina Rockefeller na Rothschild wanazimiliki hizo sababu wao ndio wanaoprint hizo karatasi.
Nani kakudanganya wewe utajiri wa John D. Rockefeller ulikuwa $ 340 billion miaka kibao huko nyuma leo hii hamna kitu David rockefeller ndo mtu pekee billionea aliyebaki kutoka hii family na anamiliki $ 4 billion




Sawa tu na Rothschild family Rothschild dynasty began
about 250 years ago. Over
time, the fortune was divided
among the patriach Mayer
Rothschild’s sons, grandchildren, great
grandchildren, etc. Many of
them are still rich, but not
everyone is a billionaire. There is still one Rothschild in
Forbes’ List of Billionaires
 
Mi nawasifu sana PDiddy na Jayz, hawajawahi kutoka top 3 tangu mwaka 2000. Wamekuja wengi wakaondoka wao bado wapo
 
Ciroc Boy katisha......I run Newyork....I took quarter water sold in a bottle for 2bucks Coca-Cola came bought for a billions what the fvck?
 
Back
Top Bottom