Picha: List mpya ya top 5 marapa matajiri 2016

Picha: List mpya ya top 5 marapa matajiri 2016

The Game status yake ikoje..
maana nampenda hadi naumwa

Kumbe nawe unawapenda waUSA eh?

USA baby
upload_2016-10-5_13-24-29.png
upload_2016-10-5_13-24-31.png
upload_2016-10-5_13-24-31.png
 
Wat
Ma rapper washindanishwe ku rap.

Utajiri shindanisha wawekezaji kina Warren Buffet.

Hapo kuna Dr. Dre ambaye kaingia katika hiyo list kwa sababu ya headphones zake, siyo mauzo ya album.

Vivyo hivyo P Diddy anauza mpaka pombe.

Hawa labda muwaite wafanyabiashara wanaotumia rap ndiyo list ieleweke.
Watu kama wewe ni Muhimu sana hapa JF
 
Mkuu, dr dre ni mfanya biashara mzuri ...alikua na headphones zake alikua akiziita Beata by Dr Dre lakin baadae akauza kwa kampuni ya Apple hapa ndo alipiga pesa ndefu sana.


ahaaaaaaa,daaaah,ndio maanaaaaa,thanks kwa info mkuu
 
Yani drake ameshawakimbiza kaka zake na maboss zake wakina Tunechi, Kanye adi Eminem duuuh [emoji17][emoji17]
 
Sasa wajameni ile list ilikua ya mwezi wa MAY 2016 nimepata list ya SEPTEMBER 2016...na ni kama ifuatavyo....

20. Rick Ross -- 10$million

20. Ludacris --10$million

19. Swizz Beatz -- 10.5$million

18. Eminem -- 11$million

17. Snoop Dogg-- 12.5$million

14. Ryan Lewis-- 14$million

14. Lil Wayne -- 14$ million

14. J.Cole -- 14$million

13. Asap Rocky -- 14.5$million

12. Dj Khaled -- 15$million

11.Kanye West --17.5$ million

10. Birdman -- 18$million

9.KendricLamar-18.5$million

8.PharelWilliams-19.5$million

7. Pitbull -- 20$million

6. Nicki Minaj -- 20.5$million

5. Wiz Khalifa -- 24$million

4. Drake -- 38.5$million

3. Dr.Dre -- 41$million

2. Jay Z -- 53.5$million

1. P. Diddy -- 62 $million
 
dokta dre hana hata mtoto wa kusingiziwa ana matatizo gani?
Mkuu unapost na wewe uonekane umepost au vipi kaka[emoji15] ....Dr Dre akiwa aged 16 alishamtemesha mtu mate wewe unasema hana mtoto?u must be kidding dude!
 
Sasa wajameni ile list ilikua ya mwezi wa MAY 2016 nimepata list ya SEPTEMBER 2016...na ni kama ifuatavyo....

20. Rick Ross -- 10$million

20. Ludacris --10$million

19. Swizz Beatz -- 10.5$million

18. Eminem -- 11$million

17. Snoop Dogg-- 12.5$million

14. Ryan Lewis-- 14$million

14. Lil Wayne -- 14$ million

14. J.Cole -- 14$million

13. Asap Rocky -- 14.5$million

12. Dj Khaled -- 15$million

11.Kanye West --17.5$ million

10. Birdman -- 18$million

9.KendricLamar-18.5$million

8.PharelWilliams-19.5$million

7. Pitbull -- 20$million

6. Nicki Minaj -- 20.5$million

5. Wiz Khalifa -- 24$million

4. Drake -- 38.5$million

3. Dr.Dre -- 41$million

2. Jay Z -- 53.5$million

1. P. Diddy -- 62 $million
Loooooooooooh hii list ni ya uongo uongo uongo, ao wakina wayne, eminem awana pesa ndogo ivyo.
 
Back
Top Bottom